Katika vitu na mafundisho mengi ambayo tumekuwa tukijifunza kuwa Mungu huwa anakaa ndani yetu,hilo ni sahihi kabisa. lakini ukisoma warumi 1:28-31 utagundua kuwa Mungu pia anataka akae katika fahamu zetu. Mungu anapokaa ndani ya ufahamu wako kuna vitu vingi sana utakavyo weza kuepukana navyo. na ukumbuke kuwa adui anapokuja kwako anataka ufahamu wako kwanza, maana akishachukua ufahamu wako huwezi kufanya jambo lolote.hivyo utaendelea kushi katika dhambi na mambo yasiyompendeza Mungu kwa maana ndani yako ufahamu wako umemkataa Mungu. ukitaka ufahamu wako ukae vizuri hakikisha Mungu (Baba,Mwana,Roho mtakatifu) yuko katika ufahamu na yeye atakuongoza katika yote.
mambo yanayotoke unapomkataa mungu katika fahamu zako
1.udhalimu
2.uasherati
3.uovu
4.ujinga
5.uuaji
6.udanganifu
7.usingiziaji
8.kiburi
9.kutokutii wazazi
10.ujinga
na mengine Mungu akiwa ndani yako mambo yote yatakuwa safi
Bwana Yesu akubariki
by Isack e
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon