katika maisha ya namna yoyote changamoto zipo lakini namna tunavyo weza kuepuka changamoto hizo ndio tatizo,vijana wengi tunakimbia changamoto na kutaka maisha rahisi ,ukweli nikwamba hakuna aliye wahi kufanikiwa pasipo maumivu au kujitoa mhanga.
Ili kuweza kutoka katika hili swala usijiulize changamoto zitaisha lini ila angalia utakavyo fanikiwa kutoka katika changamoto husika.
KARIBUNI SANA,kipengele hiki kitakuwa kinakujia kila wiki kikiwa na mada iliyofanyiwa utafiti kuangalia changamoto katika jamii husika au mtu binafsi,wewe utakae bahatika kusoma natamani kupokea maoni yako kwani ni muhimu sana.kumbuka kipimo cha utajili ni masikini wanao kuzunguka.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon