katika jamii yoyote hakuna maendeleo yaliyo wahi kufikiwa pasipo imani ya jamii fulani kuhusika .
hivyo nilazima maendeleo hayo yaweze kuhusika moja kwa moja na imani za watu,napia ili kuleta mabadiliko lazima watu fulani wenye mtazamo tofauti na mfumo uliopo wawepo ili kuleta hayo maendeleo katika jamii,mfano mwl.jk Nyerere alikuwa kinyume na mfumo wa kikoloni ndio maana alidai uhuru wa nchi ya Tanzania
Sign up here with your email
1 comments:
Write commentsNIKWELI
ReplyConversionConversion EmoticonEmoticon