UWEZO KATIKA ELIMU hakuna mtu alizaliwa bila akili kila mtu anaakili lakini kutokana na mfumo ulikoko katika jamii unapelekea awepo mtu ambaye anaakili na asiyekuwanazo ,hii maranyingi inatokea pale familia inapokuwa na mtindo wa kumkandamiza mtu fulani hivyo ni ngumu sana kuleta changes. ilikuepukana na jambo hili ni muhimu sana mtu mwenyewe kuamini kwamba anaweza kuleta mabadiliko yake mwenyewe paspo kufuata mfumo mbaya wa maisha ulio katika familia nyingi muhimu,ni kusimamia kusudi la Mungu na hasa kuelewa kile mungu anasema. by.Edward
1 comments:
Write commentsUWEZO KATIKA ELIMU
Replyhakuna mtu alizaliwa bila akili kila mtu anaakili lakini kutokana na mfumo ulikoko katika jamii unapelekea awepo mtu ambaye anaakili na asiyekuwanazo ,hii maranyingi inatokea pale familia inapokuwa na mtindo wa kumkandamiza mtu fulani hivyo ni ngumu sana kuleta changes.
ilikuepukana na jambo hili ni muhimu sana mtu mwenyewe kuamini kwamba anaweza kuleta mabadiliko yake mwenyewe paspo kufuata mfumo mbaya wa maisha ulio katika familia nyingi muhimu,ni kusimamia kusudi la Mungu na hasa kuelewa kile mungu anasema.
by.Edward
ConversionConversion EmoticonEmoticon