![]() |
| isack e. |
Blog hii imelenga kutoa mafundisho ya neno la Mungu pamoja na elimu kwa vijana na watu wa rika zote. pia inahusika na maswala ya kupashana habari mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa lengo la kuweka mtazamo sahihi juu ya nini kifanyike ili jamii iweze kujikomboa. pia inahusika kutoa taarifa mbalimbali kutoka katika vyuo vilivyopo ndani ya nchi kwa lengo la kuwa na mtandao wa wanavyuo wenye mtazamo sahihi juu ya maisha.
Ni maombi yangu kwa Mungu kuwa kila atakayepata kibali cha kuingia hapa asibaki kama alivyo ila apokee kitu kitakachoweza kumvusha katika maisha yake ya kila siku. hivyo nakukaribisha wewe na alika wengine waweze kutembelea mtandao huu .
kuhusu admin
mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) 2012-2015,anasaoma shahada ya kwanza katika tabia ya jamii(sociology),anafundisha na kuhubiri habari ya Yesu kristo kupitia mtandao,na kwenye sehemu mbalimbali. pia ni mtaalamu wa maswala ya uongozi,ushauri,utafiti na uelimishaji wa maswala mbalimbali yanayohusu jamii.
karibu sana kwa maoni ushauri usisite kunitafuta kupitia simu 0757 324092, e-mail edwardbujiku@ymail.com .
MUNGU AKUBARIKI SANA

2 comments
Write commentsGod bless you my brother
ReplyNi jambo jema sana kaka yangu kuhakikisha kuwa vijana tunapata maeneo ya kujifunza na kukumbushana kama haya.
Replynimependa sana Isack,ninamuomba MUNGU aendelee kukunyanyua zaidi kwa ajili ya UTUKUFU wake.
KILA LA KHERI.
ConversionConversion EmoticonEmoticon