HISIA ZA KUSHINDWA KATIKATI YA MAFANIKIO

Kushindwa ni hali ya mtu kutokufikia kile ulichopanga ndani ya muda uliopangwa kwa watu husika.,mara nyingine kuna watu wanawahi kushindwa sio kwasababu muda umeisha au hawajupata watu sahihi katika malengo yao.

Wengi huwa wanakwama mahali kwasababu kuna mazungumuzo mabaya au neno lisilopaswa kutamkwa katika wakati husika ndio linapelekea watu wengine kushindwa.watu wengi tumekuwa na tabia ya kukata tamaa sio kwasababu ya kushindwa ,mafanikio yapo katika wakati husika ila kule kuwa na hisia za kushindwa katikati ya muda wa mafanikio ni sababu tosha kabisa ya kutokufikia malengo yetu. ACHA KUAMUA KUSHINDWA HASA UNAPOGUNDUA UKO NDANI YA MUDA,asante
Ev.isack,e
Previous
Next Post »